Tuesday, June 08, 2010

Jabir Aziz akiweka historia

Mchezaji wa Taifa Stars, Jabir Aziz akifunga bao la kufutia machozi katika mechi na Brazil jana. Brazil ilikuwa haijafungwa bao lolote katika mechi 6, tangu Oktoba mwaka jana alipofungwa na Bolvia. Brazil ilishindwa 5-1. Hapa chini kipa wa Brazil akiokota mpira wake (picha na Gazeti la Majira)

No comments:

Post a Comment