Thursday, May 06, 2010

Mkutano wa Uchumi wa Dunia (WEF) Dar

Rais Jakaya Kikwete (wa pili kushoto) akizungumza kwenye mkutano na waandishi wa habari kuhusu viongozi wa nchi za Afrika kupambana na ugonjwa wa malaria jijini Dar es Salaam jana. Wengine kutoka kushoto ni Bi. Nazipho January-Bardill Mtendaji Mkuu wa MTN, Bw. Raymond Chambers Mjumbe Maalum kutoka Umoja wa Mataifa na Bw. Clive Tasker, Mtendaji Mkuu wa Benki ya Standard Africa.

No comments:

Post a Comment