Monday, May 10, 2010

Maisha Bora kwa Kila Mtanzania


Akina mama ambao wanawauguza ndugu zao katika hosptali ya Wilaya ya Ludewe wakisonga Ugali nje ya wodi ya akina mama wanaosubiri kujifungua, kati ya akina mama 100,000.wajawaito 200 hupoteza maisha katika Wilaya hiyo kutokana na ukosekanaji wa miundombinu.Ndio maana Chama cha wananchi CUF kimesema Maisha Bora kwa Kila Mtanzania ni ndito za alinacha

No comments:

Post a Comment