Thursday, May 06, 2010

Mkutano wa Uchumi wa Dunia (WEF) Dar

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Old Mutual South Africa, Bw. Kuseni Douglas Dlamini (kulia) akizungumza wakati wa mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam jana. Wengine ni Rais na Mtendaji Mkuu wa Yara International Norway, Bw. Joergen Ole Haslestad (wa pili kulia), Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Makazi ya Watu (UN-HABITAT), Prof Anna Tibaijuka na Mtendaji Mkuu wa Sasol South Africa, Bw. Pat Davies

No comments:

Post a Comment