Thursday, May 06, 2010

Mkutano wa Uchumi wa Dunia (WEF) Dar


Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Makazi ya Binadamu (UN-HABITAT) ambaye pia ni Mwenyekiti Mwenza wa Mkutano wa Dunia wa Uchumi (WEF), Profesa Anna Tibaijuka (kushoto) akizungumza na Rais na Mtendaji Mkuu wa Yara International Norway, Bw. Joergen Ole Haslestad mara baada ya mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam jana.

No comments:

Post a Comment