Thursday, December 10, 2009

My Birthday

Leo ni siku yangu ya kuzaliwa. Tarehe kama ya leo 10/12, na siku kama ya leo (Alhamisi) mwaka huoooo ndipo Kisima cha Fikra kiliingia duniani. Nawasalimia wasomaji wa blogu hii na kuwatakiwa kila la heri katika Mwaka Wangu Mpya.

1 comment:

Da' Mija said...

Happy birthday to you! Hongera sana.

Post a Comment