Wednesday, November 04, 2009

Mikakati


Waheshimiwawabunge wakipanga mikakati: Kutoka kulia ni Juma Kapuya (waziri wa kazi), Rostam Aziz (Igunga), Emmanuel Nchimbi (Naibu Waziri wa Ulinzi) na Andrew Chenge (Bariadi Magharibi)

2 comments:

Ansbert Ngurumo said...

Huyu John Chenge ni nani? Mbona anafanana na Andrew Chenge? Au ni mapacha na Chenge? Tafadhali fafanua.

Anonymous said...

kundi la mafisadi waliotukukaaaaaaaaaaa..lipo kwenye mipango ya kufanya uharibifu..wa mali za uma

Post a Comment