Michele Obama ni mama wa kujichanganya. hutokea hivi na vile katika hafla mbalimbali (cheki hayo mafoto yaliyopigwa nje ya amatukio ya kawaida yanavyojieleza), kama itokeavyo kwa mumewe, Barack Obama anavyoonekana zaidi katika mafoto yanayopatikana kwa mzee wa sumo
No comments:
Post a Comment