Sunday, May 31, 2009

Mbunge mwingine apata ajali

Mbunge wa Jimbo la Vunjo, Aloyce Kimaro (pichani) amenusurika kufa baada ya gari lake alilokuwa akisafiria kuparamia mawe yaliyopangwa barabarani na kupata ajali usiku wa kuamkia jana.
Habari zilizonifikia na kuthibitishwa na Kimaro na polisi zinasema kuwa, ajali hiyo ilitokea katika kijiji cha Mikongeni kata ya Lembeni wilayani Mwanga, Kilimanjaro kwenye barabara kuu ya Moshi-Tanga, akiwa safarini kutoka Dar es Salaam kwenda jimboni kwake. Jisomee kwa undani

No comments:

Post a Comment