Saturday, May 30, 2009

Meli Yazama ZanzibarBreaking News........
Zipo taarifa kuwa meli imezama Zanzibar ikiwa imesheheni mizigo tani 76 na abiria takribani 25 (taarifa za Sumatra) na wafanyakazi 13 (nyongeza ya nahodha). Pia kwa taarifa rasmi kutoka Sumatra nilizopata ni kwamba hadi sasa walithibitika kupoteza maisha ni watu watatu. Watu 28 waliokolewa na wengine bado wanatafutwa. Ni Mv. Fatih ya kampuni ya Seagul mali ya Bwana Said Mbuzi, Nahodha, Ussi Ali anahojiwa na polisi. Full ripoti hapa

No comments:

Post a Comment