Sunday, March 01, 2009

Zitto awa mzito kwa Dowans


SUALA la mitambo ya kuzalisha umeme wa dharura ya Dowans linazidi kupandisha presha ya wanasiasa na jana Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Mashirika ya Umma, Zitto Kabwe aliweka wazi msimamo wa kamati yake kutetea ununuzi wake. Endelea

No comments:

Post a Comment