Wednesday, March 04, 2009

Zitto Apata Pigo


Breaking News


Spika wa Bunge, Samuel Sitta amekata mzizi wa fitna. Amesema Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini inayoongozwa na William Shellukindo (CCM-Bumbuli) inayopinga kununuliwa kwa mitambo ya Dowans ndiyo iko sahihi.
Ameweka wazi kuwa Kamati ya Zitto Kabwe ya Hesabu za Mashirika ya Umma haiko sahihi kwani imefanya kazi ambayo si yake... Taarifa za kina baadaye.

No comments:

Post a Comment