Wednesday, March 04, 2009

Matokeo ya Kipimajoto

Swali lililopita lilizungumzia sakata la Dowans kama ama bunge liruhusu ununuzi wa mitambo au likatae. Watu 17 walipiga kura, kati yao 12 (70%) walisema BUNGE LIKATAE na watano (5) (30) walisema LIRUHUSU. Hakuna aliyesema 'sina jibu'

No comments:

Post a Comment