Wednesday, March 04, 2009

Mnyika Atema Moto


Richmond, Dowans and Operesheni Safisha Mafisadi

Richmond, Dowans na Operesheni Safisha MafisadiNa John MnyikaKwa muda wa wiki mbili nimekuwa kikifuatilia na kutafakari mjadala unaoendelea kuhusu ununuzi wa mitambo ya kufua umeme ya Dowans mintaarafu hofu ya taifa kukumbwa na tatizo la uhaba wa umeme. Aidha katika kipindi hicho nimekwepa kuandika hadharani mawazo yangu kuhusu suala hilo. Katika kipindi chote hicho nimekuwa nikizungumza na walio katika korido za mamlaka na maamuzi kueleza mawazo yangu. Nikiamini kwamba waliouanzisha mjadala huu, watauhitimisha kwa kuzingatia mahitaji ya taifa na hisia za umma. Badala yake mjadala huu, kama moto wa nyikani, umeendelea kushika kasi na kuchukua sura mbalimbali. Soma Blog ya John Mnyika

No comments:

Post a Comment