Tuesday, February 24, 2009

Waziri Kamala Atetea PhD Yake


Ilikuwa ni tetesi. Mara ikaanza kuandikwa kwenye magazeti bila kuwataja wahusika, lakini leo waziri wa Afrika Mashariki, Dk Diodorus Kamala ameibuka kwenye THE CITIZEN na kukiriu kuwa shahada yake ya uzamivu (PhD) aliipata kwenye chuo cha Commonwealth Open University, ambayo haitambuliwi na Kamisheni ya Vyuo Vikuu Nchini (TCU).

No comments:

Post a Comment