Tuesday, February 24, 2009

Ni Muda UtazungumzaUTATA kuhusiana na uwapo wa mkurugenzi wa zamani wa utawala na utumishi wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Amatus Liyumba anayekabiliwa na tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka na kuisababishia hasara serikali ya Sh 221 bilioni utajulikana leo katika mahakama ya hakimu mkazi Kisutu.


Liyumba bado anatafutwa baada ya mahakama kutoa amri ya kumkamata wakati mwenzake, Deograthias Kweka yuko ndani kwa kushindwa kutimiza masharti ya dhamana.


Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imesema jana kuwa kama watu wanataka kujua Liyumba alipo basi wafike wafike mahakamani leo ndipo watakapojua jibu.

Pata Habari Kamili

No comments:

Post a Comment