Tuesday, February 17, 2009

Wanne Wameshakaangwa

Koplo Jane (mshtakiwa wa tano) amemaliza utetezi wake leo. Mshtakiwa wa nne, Konstebo Noel alishaachiwa huru baada ya kuonekana hana kesi ya kujibu.

Ahmed Makelle (mshtakiwa wa tatu) alihitimisha jana

Christopher Bageni (mshtakiwa wa pili) alikaangwa kizimbani baada ya bosi wao, Abdallah Zombe


ACP Abdallah Zombe, mshtakaiwa wa kwanza.No comments:

Post a Comment