Friday, February 06, 2009

Vinasa Sauti vya Slaa


Hiki ndicho kifaa kinachodaiwa kukutwa chumbani wa Dk Slaa na kwa mwenzake, Dk Ali Tarab Ali katika hoteli ya 56Makachero wakipiga picha za kifaa hicho huku Dk Slaa akiwa anaangalia.

No comments:

Post a Comment