Wednesday, February 25, 2009

Uchaguzi Mkuu CUF

,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
Uchaguzi Mkuu wa Civic United Front (CUF) alias Chama cha Wananchi unafanyika leo. Wagombea wa nafasi ya uenyekiti ni watatu, lakini wenye nguvu zaidi ni maprofesa wawili, Ibrahim Lipumba (kushoto) na Abdallah Safari (kulia). Mwingine ni Stephen Masanja. Fuatilia matokeo baadaye hapa.

No comments:

Post a Comment