Wednesday, February 25, 2009

Ngasa Hatihati

Kiungo wa Taifa Stars majuzi, Mrisho Ngasa ni miongoni mwa waliochukuliwa vipimo kucheki kama wametumia dawa za kulevya kabla ya mechi ya timu hiyo na Senegal

Ngassa na kiungo chipukizi wa Stars, Mwinyi Kazimoto walichukuliwa vipimo hivyo Jumapili iliyopita katika mechi ya kwanza dhidi ya ambayo ilimalizika kwa kwa Stars kulala kwa bao 1-0. Ngasa anasema 'Sina shaka' lakini wasiwasi wetu unabaki pale pale kuwa gazeti la Mwanaspoti liliwahi kufichua habari kuwa wachezaji tisa (9) wa Taifa Stars wanavuta bangi. Tuvute subira.

No comments:

Post a Comment