Wednesday, February 25, 2009

Swali la Leo

Kipimajoto kinaendelea. Swali la leo linatokana na sekeseke la mitambo ya Dowans, iliyokuwa ya Richmond. Tanesco wanataka kuinunua, kisa, eti ni mipya na kuna uwezekano wa mgao wa umeme. Wabunge wamegawanyika kuhusu hoja hiyo, na ngoma hiyo sasa imerushwa kwa Spika, Samuel Sitta. Wewe unaonaje, inunuliwe?, iachwe, au...Piga kura yako hapo kulia.

No comments:

Post a Comment