Monday, February 23, 2009

Stars Yakwama


Timu yetu ya Taifa, taifa Stars jana usiku ilishindwa kuwatambia wasenegali baada ya kukubali kufungwa bao 1-0. Alikuwa ni Mchezaji Mamadou Traore aliyeukwamisha mpira wavuni katika dakika ya 29. Pamoja na juhudi za vijana wetu hadi kipenga cha mwisho hakukuwa na mabadiliko.

No comments:

Post a Comment