Monday, February 23, 2009

Kifo chake ni Uzushi?


Mamlaka ya Magereza imetoa ufafanuzi kuwa yule mama wa kihindi aliyedaiwa kufariki duniani akiwa gerezani ama kwa kujinyonga au kuuawa kwa mateso Soma Zaidi kuwa bado yuko hai na ni mzima buheri kwa afya. Taarifa hizo zilianza kuzagaa Ijumaa iliyopita na kukolea zaidi Jumamosi namna hii, lakini Msemaji wa Magereza amesema ni uzushi na huyo mama yuho hai.

No comments:

Post a Comment