Friday, February 27, 2009

Stars vs Zambia

Stars
Zambia

Hawa ndio wachezaji wa timu za taifa, Tanzania na Zambia zinazotarajia kukamuana usiku wa kesho


Timu ya Taifa Stars kesho saa 4.00 usiku itajitupa dimbani nchini Ivory Coast kupamba na Zambia. Mechi hiyo muhimu ndiyo itatoa mwelekeo kama Stars inaingia robo fainali au la; katika michuano ya mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani (CHAN).

No comments:

Post a Comment