Friday, February 27, 2009

Kitabu cha Kawawa


Simba wa Vita , Mzee Rashid Mfaume Kawawa jana alizindua kitabu cha historia na harakati nchini. Uzinduzi huo ulifanyika Ikulu na kushuhudiwa na Rais Kikwete, Ben Mkapa, Ali Hassan Mwinyi na Mama Maria Nyerere kwa niana ya baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Nyerere. Wengine waliokuwa mawaziri wakuu, John Malecela na Joseph Warioba.

No comments:

Post a Comment