Sunday, February 22, 2009

Stars presha juu


Timu ya taifa, taifa Stars leo inajitupa katiika uwanja wa Alex Boigny mjini Abijan, Ivory Cost kupambana na Senegal katika michuano ya Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wanaocheza ligi za ndani (CHAN).Macho na masikio ya Watanzani yapo Senegal kusikiliza mpambano huo unaoshirikisha timu nane, saba zikiwa juu ya Stars kwa ubora kwenye orodha ya Shirikisho la Soka Duniani (FIFA).

No comments:

Post a Comment