Sunday, February 22, 2009

Mwenezi Yanga kuzikwa leo

Mazishi ya Katibu Mwenezi yanga Sports Club, Francis Lucan yanatarajiwa kufanyika leo kwenye makaburi ya Temeke wailes jijini Dar es Salaam.


Lucas alifariki usiku wa kuamkia jana saa 7.15 nyumbani kwake Tabata baada ya kuugua na mwili wake kuhifadhiwa katika Hospitali ya Amana.


Blogu ya Miruko inatuma salamu za rambirambi kwa familia yake na wadau wote wa klabu ya Yanga. Mungu ametoa, Mungu ametwaa, Jina lake linarikiwe.

No comments:

Post a Comment