Sunday, February 22, 2009

Bob @ 85 yrs


Acha wasema tu, maisha yanasonga mbele. Robert Mugabe, rais wa Zimbabwe, jana alitimiza miaka 85 tangu azaliwe, wengine tunasema amezeeka yeye anajiona bado anadai. Mungu ampe maisha marefu...Amin

No comments:

Post a Comment