Wednesday, February 25, 2009

Matokeo ya Kipimajoto

Katika swali letu la wiki iliyopita kuhusu walimu wazembe ama kuchalwa bakora, kupewa onyo, kushtakiwa au kuachwa tu, wasomaji 25 walijitokeza kupiga kura.

Matokeo


Wasomaji 18 (72%) wamesema wachapwe bakora

Wasomaji 4 (16%) wamasema wapewe onyo

Wasomaji 3 (12%) wamesema washtakiwe

Hakuna (0%) aliyesema waachwe tu


Soma swali la leo hapo kulia.No comments:

Post a Comment