Thursday, February 26, 2009

Kwaresma

uLITOKA KWENYE MAVUMBI, UTARUDI KWENYE MAVUMBI. Ndivyo anavyosema padri huyo wa parokia ya Makuburi jijini Dar es Salaam wakati akiwawapata waumini wake majivu Jumatano ya majivu jana, kuashiria kuanza kipindi cha mfungo wa Kwaresma.

No comments:

Post a Comment