Thursday, February 26, 2009

Stars Yafanya Mambo


Ilikuwa kazi ngumu kweli. Mshambuliaji wa Taifa Stars, Henri Joseph akiwa amezingirwa na wachezaji wa Ivory Coast kwenye mechi kati yao jana. Stars ilishinda 1-0. pande la Henri ndilo lilimkuta Mrisho Ngasa akapachika bao.

No comments:

Post a Comment