Friday, February 13, 2009

KALI ZA LEOManeno yanaumba. Rashid Matumla (kati) leo anapambana na Francis Cheka (kushoto) mjini Morogoro. Matumla ameapa kuwa akichapwa leo anastaafu ngumi.Lyumba wa BoT, yule anayeshtakiwa kwa kutafuna sh 250 bilioni za maghorofa pacha akirejeshwa rumande baada ya rufaa yake ya kupinga kiwango cha dhamana kutupwa na Mahakama Kuu leo. Kwa maana hiyo Lyumba anatakiwa kutoa fedha taslimu ya mali ya sh 55,000,000,000 (Sh55 bilioni).

No comments:

Post a Comment