Saturday, February 14, 2009

DC Mbabe Chali

Yule Mkuu wa wilaya ya Bukoba, Mwanajeshi, Albert Mnali aliyeonyesha ubabe na kuwacharaza walimu wa shule tatu za msingi bakora yuko chali--amevuliwa madaraka na kutimuliwa kazi na aliyempa kazi, Rais Jakaya Kikwete. Soma zaidi hapa

No comments:

Post a Comment