Friday, February 27, 2009

Hata UK YaleyaleBaada ya kuweka kale kanoti ka dola laki moja tu za Marekani (USD$100,000) wadau wameibuka na kusema hata Uingereza wanayo noti moja ya pound 1,000,000. Nadhani ndiyo hii, lakini pia, kama Marekani, mambo ni yale yale kwani noti hiyo inatumika tu katika taasisi za fedha.

No comments:

Post a Comment