Friday, February 27, 2009

DC wa bakora afagiliwa

MKUU wa wilaya ya Maswa, James Yamungu (Pichani), amempongeza aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Bukoba mkoani Kagera, Albert Mnali, akimwita kuwa ni shujaa kutokana na kitendo chake cha kuchapa viboko walimu wa shule tatu za msingi na kusababisha atimuliwe kazi na Rais Jakaya Kikwete. Ipate Kamili Hapa

No comments:

Post a Comment