Friday, February 06, 2009

Dk Slaa 'Aipata' Dodoma

Breaking News....

Dk Wilbrod Slaa na Mwenzake wa CUF, Dk Ali Tarab Ali wametegewa vinasa sauti na watu wasiojulikana kwenye vyumba vyao katika hoteli ya 56 mjini Dodoma.

Lengo halijafahamika, uchunguzi unaendelea. Fuatilia hapa kwa taarifa zaidi hapo baadaye.

No comments:

Post a Comment