Thursday, January 08, 2009

Privatus Karugendo Avuliwa Upadre


Hivi karibuni Papa Benedicto XVI alimvua daraja la upadri, Padri Privatus Karugendo wa Jimbo la Rulenge-Ngara. Miongoni mwa sababu zilizotajwa ni kukiuka maadili ya Kikatoliki likiwamo suala la kubariki matumizi ya kondom na mengine. Karugendo mwenyewe anapinga adhabu hiyo na anatoa sababu ambazo tutaziona baadaye hapa. PEKUA HAPA pepa yake kuhusiana na kondom aliyoitoa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Na Padri Privatus Karugendoe-mail:pkarugendo@yahoo.com. Source: Blog ya Inda Nkya

1 comment:

Anonymous said...

Padri m ntka unipe shule zaid khusiana n ile theory ya Machieveli ulyoitoa ktk makala ilyopita kweny gazet la Raia mwema!1 nktmai u mzmz wa afya1!

Post a Comment