Thursday, January 22, 2009

Mabilionea Wachanaga

Unaweza kujipatia dola bilioni 100 kwa kuuza mayai matatu
Hata mtoto mdogo kama huyu anaweza kuwa na bulungutu hili la kwake mwenyewe...labda kapata kwa kuomba au kapewa na mzazi kununua penseli

No comments:

Post a Comment