Thursday, January 22, 2009

Ma 1st Lady wa Dar Mpo?

Hii ni mikono ya mama Obama, Michelle. Unaona mwenyewe jinsi alivyo...ingekuwa mafirst lady wetu hapa bongo ungeyaona madhahabu tele.
Kama siku ya harusi vile! Hivi kwa nini hatujawahi kumuona rais wetu wakitoka kinamna hii na wake zao? Au wanayafanyia nyumbani tu!

2 comments:

Anonymous said...

Sasa wewe unafikiri hivyo alivyovaa vinanuzwa dola ngapi. Kwa taarifa yako vinaweza vikawa bei mbaya/chafu kuliko hata dhahabu.

Anonymous said...

Unajua dhamani ya gauni lake? ni dola 3500. Hela za kitanzaia shs ngapi. Acha tuendele na utaratibu wetu wa dhahabu

Post a Comment