Tuesday, November 25, 2008

Safari ya Treni ya Kati

Abiria wa daraja la pili akiwa amepumzika ndani ya treni ya kati, akitokea Dar es Salaam kuelekea Mwanza. Hali hii ni baada ya mwaka mmoja tangu reli hiyo kukodishwa kwa kwa Kampuni kutoka India. RSM

Yaliyojiri:
Ndani mechakaa vya kutosha
Hakuna mabadiliko kabla na baada ya ukodishaji
Vyoo havina maji
Abiria wanajaa hadi chooni
Vyumba 1st &2nd class havina vitasa
'Kukutana' na mende si jambo la ajabu
Madirisha yanashikiliwa kwa kipande cha ubao
na mengineyo...


No comments:

Post a Comment