Tuesday, November 25, 2008

Breaking Newsssss

Mawaziri wawili waliopita, Basil Mramba na Daniel Yona wamefikishwa mahakamani kwa matumizi mabaya ya ofisi...Dhamana zao zinahitaji Sh3,000,0000,000 tu. Hivi sasa wanashughulikia dhamana. mengina nitawaeleza baadaye..

No comments:

Post a Comment