Wednesday, November 26, 2008

Mafanikio hutokana na mbinu

Ombaomba huyu nilimnasa akifanya kazi yake kwa kutumia nyenzo ili kuwafikia wateja wake kwenye treni ya reli ya kati katika kituo cha Itigi mkoani Tabora

No comments:

Post a Comment