Tuesday, November 25, 2008

Kula Majani mwenyewe mzee


Basil Mramba akielekea mahakamani kujibu mashtaka ya ufisadi. Alikosa dhamana jana kwa kushindwa kulipa Sh3.9 bilioni taslimu. Pia Waziri wa zamani mwenzake, Daniel Yona, yuko naye lupango. Kwa mashtaka yale yale

No comments:

Post a Comment