Monday, September 15, 2008

Ugunduzi Afrika

Mataifa ya Afrika yamegundua aina mpya ya demokrasia. Demokrasia hii mpya nadhani inabidi ifanyiwe utafiti na wasomi. Hata kule tunapodhani demokrasia halisi ilianzia hawaijui aina hii mpya. Hii si nyingine bali ni ile ambayo mifano yake tumeishuhudia Kenya na sasa Zimbabwe. Watu wanagombea uongozi, mmoja anashinda na kuporwa madaraka, kisha anakalishwa na aliyeshindwa lakini ameshikilia mpini na kugawana kasungura. BASI.
Habari yenyewe ndio hiyo: A historic power-sharing deal is being signed in Zimbabwe.
Zimbabwe's Robert Mugabe and opposition leader, Morgan Tsvangirai have reached a power-sharing agreement aimed at resolving the country's prolonged economic and political crisis.

No comments:

Post a Comment