Tuesday, February 26, 2008

Muungwana husikiliza

Baadhi waliniandikia hapa, wengine wakaandika kwa email baada ya kushindwa kutoa maoni katika kisanduku cha maoni. Wengine walinipigia simu na wachache wakanieleza kwa mdomo. Nimeona sina sababu ya kuwa mkaidi...Nimerudi.

2 comments:

Anonymous said...

Wewe acha ufala ulitaka kupima kama watu wanapitia blog yako! sasa tunataka uwe unaupdate kila siku sio unalala!

Anonymous said...

Wewe acha ufala ulitaka kupima kama watu wanapitia blog yako! sasa tunataka uwe unaupdate kila siku sio unalala!

Post a Comment