Monday, February 18, 2008

KWAHERINI


Ndugu wasomaji wa Blog hii


Kwaherini. Ninawaaga nimeamua kuachana na blog. Asanteni kwa kuniunga mkono tangu Novemba 2006.


Ndimi Miruko

9 comments:

Anonymous said...

unakwenda wapi mkuu? wacha mambo hayooo rudi kundinio harakaa tunakutegemeaaa

Anonymous said...

acha za kutest zali, endelea kublog hakuna aliyekuita

Anonymous said...

Miruko sisi wadau tunasikitika sana kwa nini unaondoka? mimi nilikuwa siijui blogyako nimeijua juzi tu kumbe ilikuwa na mipicha ya nguvu, nimesikitishwa sana kwa kuondoka kwako

Anonymous said...

Miruko sisi wadau tunasikitika sana kwa nini unaondoka? mimi nilikuwa siijui blogyako nimeijua juzi tu kumbe ilikuwa na mipicha ya nguvu, nimesikitishwa sana kwa kuondoka kwako

Anonymous said...

No kisima cha fikra, dont leave, we will miss u

Anonymous said...

Mzee wetu wa fikra, plssssssssssssssssssssssssssssssss dont leave

Anonymous said...

Heee, kwa nin i tena waamua kutukimbia? what happenned?

Mija Shija Sayi said...

Miruko acha utani!!!!

EDWIN NDAKI said...

Du..kaka ingawa hujapenda kuweka bayana la wewe kuji-Lowassa kublog.

Ila kubwa ya yote mimi pia nilikuwa mmoja wa watu walikuwa wakipita hapa kimya kimya.

Nakutakia kila jema natumaini kwa namna moja ama nyingine,utukuwa nasi.

Ulitimiza wajibu wako..hongera kwa hilo.

wasalaaam

Tutufika tu.

Post a Comment