Thursday, February 07, 2008

Mapendekezo ya Kamati ya Richmond

Mheshimiwa Spika,

Kamati Teule imethibitisha bila ya shaka lolote kuwa uteuzi wa Kampuni dhaifu kifedha, kiufundi na kiuzoefu na ambayo haina usajili Marekani wala Tanzania kama kampuni yenye ukomo wa hisa, yaani Richmond Development Company LLC, ulitokana na kubebwa bila woga wala aibu na viongozi waandamizi wa Serikali. Kutokana na msingi huo Kamati Teule inapendekeza yafuatayo: ISOME HAPA

No comments:

Post a Comment