Tuesday, February 05, 2008

Jiwe hili Hadi Alione Mzungu?

Watu wa Mwanza wanashangaza sana. Walikaa hapa mjini miaka nenda rudi, lakini hawakuweza kuliona hili jiwe, hadi alipokuja mzungu Bismack, akaliona na kuliita jina lake, 'Bismack Rock'

No comments:

Post a Comment