Thursday, February 07, 2008

Dk Ibrahim Msabah Naye Nje

Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk Ibrahim Msabah naye ametangaza kuachia ngazi saa 12.27. Anasema yeye ni msafi, na mwadilifu.

No comments:

Post a Comment