Thursday, February 07, 2008

Bunge Lazini Kuwaka Moto


Tunasubiri Mwanasheria Mkuu, Johnson Mwanyika naye ajiuzulu, kwani ndiye pekee aliyesalia ndani ya Bunge. Jengo la Bunge linaendelea kuonekana uzuri wake wa asili na thamani yake ya dola 30.9 milioni

No comments:

Post a Comment